Ultimate Test For America

Ultimate Test For America

The ultimate test for America Known to be the world’s best At the top among the rest A free world rich and blest Behold America’s ultimate test A time to write a new story In the world’s political history To uphold the…

Litoka Wapi Ewe Kifo?

Litoka wapi ewe kifo?   Maswala ya kifo matata Kwa hakika yana utata Wazee na wadogo hata Litoka wapi ewe kifo?   Meshindwa kukwelewa hasa Kila kukicha watunyanyasa Wapendwa kuwachukua bila ruhusa Litoka wapi ewe kifo?   Mefanya wengi yatima Huzuni manyumbani…

Mwalirejesha Nyuma Taifa

Maafisa wa polisi Uchumi wetu mwafilisi Wa ufisadi wahandisi Mwalirejesha nyuma taifa   Polisi wa trafiki Hakika metudhihaki Safarini hatufiki Mwalirejesha nyuma taifa   Vituo vingi barabarani Vya ufisadi kwa yakini Noti zakunjwa, zatupwa chini Mwalirejesha nyuma taifa   Madereva na utingo…

Acheni Ya Uchochezi

Viongozi wa upinzani nawaomba kwa yakini ajenda iwe ni amani acheni ya uchochezi   za humu nchini siasa mmejaza na mikasa vurugu bungeni hasa acheni ya uchochezi   Ughaibuni mkisafiri zungumzeni kwa ari nchi kuipa fahari acheni ya uchochezi   Uamuzi wamahakama…

Ya Maisha maswali

  Asubuhi tuamkapo Mchana tuzungukapo Na usiku tulalapo Twajiuliza ni vipi?   Jana ilienda wapi? Kesho mejificha wapi? Leo tunaishi vipi? Twajiuliza ni vipi?   Kuzaliwa salmini Kuishi kwa Imani Kifo na huzuni Twajiuliza ni vipi?   Duniani mabilioni Hewa safi mapafuni…

Vyuo Vikuu Makao ya Makuu

Vyuo Vikuu Makao ya Makuu

Vyuo Vikuu Makao ya Makuu   Vyuo vyetu vikuu Makao ya makuu Kwa watakao ukuu Twende pole kama wakuu   Visa na mikasa vyote Kila kukicha kote kote Utulivu twakosa sote Twende pole kama wakuu   Vifo vingi kila mwaka Wana nab…

Kwa Yote Mlofanya

Kwa Yote Mlofanya Mengi mawazo akilini Ya muhimu kwa yakini Makuu yalo nyumbani Sitoyasahau maishani   Wa nne kwa kuzaliwa Ndugu wengine sita sawa Kwa maadili kulelewa Kisomo hitaji kupewa   Nawashukuru sana wazazi Kwa mema na makuu malezi Baraka naomba kwa…

Baada ya upekuzi

Hi leo nawaza, nawazua maswala tata Huzuni menijaza, maiaji ovyo yalowapata Wakaazi kuwaliza, vilio na huzuni yakata Serikali yafanyani? Wakenya waangamia   Makala ya jicho pevu, yanayofanya kwa makini Zaonyesha ulegevu, kwa usalama nchini Serikali ni nyamavu, wakenya wamo taabani Serikali yafanyani?…

Tumuabudu maulana

Tumuabudu Maulana Hapa chini ulimwenguni Kote kote makanisani hata kule misikitini Tumuabudu maulana   Hapa kwetu nchini Hakika tumo taabani Mna biashara makanisani Tumuabudu maulana   Kila siku wahubiri Tabia mbaya mekithiri Sifa mbaya meshamiri Tumuabudu maulana   Mewalaghai washiriki Kuwapora bila…

Donald Trump

Donald Trump

Have you asked yourself why Donald Trump is growing more popular by the day? Have you been keen to notice the attention he is garnering from the media? I must say, Donald trump is the best strategist and he has the best…