
Tukomeshe Ukeketaji
Mimi ni mtoto msichana Masomo kwangu ya maana Ombi langu kwa jamii Tukomeshe ukeketaji Utamaduni huu wa zama Watudhuru sana mama Ombi langu kwa jamii Tukomeshe ukeketaji Napenda sana kusoma Ili shida zipate kuhama Ombi langu kwa jamii Tukomeshe ukeketaji…