Wapo Walojawa na kilio
Tunaposheherekea leo Ya mahakama matokeo Kwa vifijo na nderemo Wapo walojawa na kilio Mauaji tulishuhudia Vifo vingi vilitokea Mali watu walipoteza Wapo walojawa na kilio Ndugu alimgeukia ndugu Watu wakageuka mapwagu Nchi ilijawa na vurugu Wapo walojawa na kilio …

