Vyuo Vikuu Makao ya Makuu
Vyuo Vikuu Makao ya Makuu Vyuo vyetu vikuu Makao ya makuu Kwa watakao ukuu Twende pole kama wakuu Visa na mikasa vyote Kila kukicha kote kote Utulivu twakosa sote Twende pole kama wakuu Vifo vingi kila mwaka Wana nab…
Vyuo Vikuu Makao ya Makuu Vyuo vyetu vikuu Makao ya makuu Kwa watakao ukuu Twende pole kama wakuu Visa na mikasa vyote Kila kukicha kote kote Utulivu twakosa sote Twende pole kama wakuu Vifo vingi kila mwaka Wana nab…
Kwa Yote Mlofanya Mengi mawazo akilini Ya muhimu kwa yakini Makuu yalo nyumbani Sitoyasahau maishani Wa nne kwa kuzaliwa Ndugu wengine sita sawa Kwa maadili kulelewa Kisomo hitaji kupewa Nawashukuru sana wazazi Kwa mema na makuu malezi Baraka naomba kwa…
Hi leo nawaza, nawazua maswala tata Huzuni menijaza, maiaji ovyo yalowapata Wakaazi kuwaliza, vilio na huzuni yakata Serikali yafanyani? Wakenya waangamia Makala ya jicho pevu, yanayofanya kwa makini Zaonyesha ulegevu, kwa usalama nchini Serikali ni nyamavu, wakenya wamo taabani Serikali yafanyani?…
Tumuabudu Maulana Hapa chini ulimwenguni Kote kote makanisani hata kule misikitini Tumuabudu maulana Hapa kwetu nchini Hakika tumo taabani Mna biashara makanisani Tumuabudu maulana Kila siku wahubiri Tabia mbaya mekithiri Sifa mbaya meshamiri Tumuabudu maulana Mewalaghai washiriki Kuwapora bila…
Have you asked yourself why Donald Trump is growing more popular by the day? Have you been keen to notice the attention he is garnering from the media? I must say, Donald trump is the best strategist and he has the best…
Tunaposheherekea leo Ya mahakama matokeo Kwa vifijo na nderemo Wapo walojawa na kilio Mauaji tulishuhudia Vifo vingi vilitokea Mali watu walipoteza Wapo walojawa na kilio Ndugu alimgeukia ndugu Watu wakageuka mapwagu Nchi ilijawa na vurugu Wapo walojawa na kilio …
For the fallen soldiers From the commanders To the sharpshooters And esteemed paratroopers Among you were fathers With you were brothers Beloved brothers and sisters Sons, uncles and aunties Members of the Amisom You fought in…
9/28/2015 14:20:33 PM Like a thief in the night in dazzling and brilliant light accompanied with the heavenly flight The son of God in our sight You may have given up the devil might have laid a trap the journey might have…