Bado Kitambo Kidogo

Bado Kitambo Kidogo

”Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo. Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.- (Ufunuo 22:12-13) Yuaja! Ajira anao mkononi Kwa wale wanaomwamini Wanaomwabudu kwa roho na…

Saratani Sio Gonjwa Wastani

Saratani Sio Gonjwa Wastani

  Kansa au saratani Gonjwa liwatishao wengi ulimwenguni Jinamizi kuu lilozuka duniani Litoka wapi gonjwa hili?   Gonjwa la rika zote Halibagui jinsia laathiri zote Halibagui kabila latuathiri sote Litoka wapi gonjwa hili?   Mewageuza wengi mayatima Yaua watoto,wazazi,jamii nzima Mewaacha wengi…

Barua Kwa Raila Odinga

Barua Kwa Raila Odinga

MKENYA MZALENDO KIJANA MPENDA AMANI Kwa, RAILA AMOLLO ODINGA KINARA WA CORD JAMHURI YA KENYA Bwana Odinga, MINT: UPINZANI KWENYE MIZANI Mwaka huu ni wa uchaguzi. Kongole kwa kazi ambayo wewe, pamoja na viongozi wengine mmekua mkifanya nchini; kuikosoa serikali. Nakubaliana nawe…

Barua Kwa Rais Uhuru Kenyatta

Barua Kwa Rais Uhuru Kenyatta

Mkenya Mzalendo Kijana Mpenda Amani Tarehe: Kenya Hii Leo Kwa Rais Jamhuri ya Kenya Uhuru Muigai Kenyatta S.L.P  Ikulu ya Nairobi Mtukufu Rais MINT: TAIFA LAWAYAWAYA Ninasikitika sana!  Matatizo chungu nzima nchini! Rais, hapana sababu ya kutabasamu wakati wagonjwa wanakosa kuhudumiwa mahospitalini….