Tumechoka
TUMECHOKA By Yegon Emmanuel Nyoyo zetu zatokota, kwa uchungu tunalia Hisia zetu zazorota, kwa maombolezo mtawalia Kila kukicha twashituka, kwa habari za tanzia Kwa majonzi tumechoka, wakenya twaangamia Nchi yetu ya Kenya, tukufu na ya kifahari Tumejivunia kuwa wakenya, tumelienzi taifa letu…