Monday, April 6, 2020

Usikate Tamaa

Usikate Tamaa   Usighubikwe na akilio Bali tumaini la ufufuo Likupe Amani moyoni Kila jambo lina mwisho   Wapendwa kila kukicha Waangamia bila mpango Sife moyo ewe dada Kila jambo lina mwisho   Hamna jema duniani Ya hapa yote yapita Ila jiandae ufae mbingu Kila jambo lina mwisho   Tumaini hakika lipo Maisha mema yapo huko Akija mwokozi utakuwepo? Kila jambo lina mwisho   Tuliza moyo...

Bado Kitambo Kidogo

''Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo. Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.- (Ufunuo 22:12-13) Yuaja! Ajira anao mkononi Kwa wale wanaomwamini Wanaomwabudu kwa roho na kweli Wenye kustahimili kila hali Washindao majaribu kwa imani Wote...

Go tell the world

Listen ye saints You who have received the light through Christ You who were commissioned to go out to the cities To the towns and the villages To teach His word and make them disciples Go tell the world of his love Teach them of his commandments Show them by your...

Amkeni Tujenge Kenya

    Nchi yetu ya Kenya, tukufu ya kifahari Likombolewa kwa damu Kenya,ya mababu hodari Lipata uhuru Kenya, ila leo mna hatari Amkeni ndugu wakenya, tuilinde nchi yetu   Maandamano kila kukicha, machafuko kila mahali Ya taarifa video na picha, ya vifo vilivyotukabili Majambazi usiku kucha, waua sawa na ajali Amkeniu ndugu wakenya, tuilinde...

Kwa Yote Mlofanya

Kwa Yote Mlofanya Mengi mawazo akilini Ya muhimu kwa yakini Makuu yalo nyumbani Sitoyasahau maishani   Wa nne kwa kuzaliwa Ndugu wengine sita sawa Kwa maadili kulelewa Kisomo hitaji kupewa   Nawashukuru sana wazazi Kwa mema na makuu malezi Baraka naomba kwa mwenyezi Awape nafasi kwa yake enzi   Masomo kwa taabu metupa Bila kazi karo kulipa Zizini ng’ombe wote mehepa Shamba pia...

Surrender

Surrender Doesn’t mean being under It means true submission Asking God to take charge Giving him the opportunity to be in charge To be in control of every situation Determine the course of every condition It is my prayer for this generation That we find the sense of true submission Through the power...

A Message to the Young People of My Generation

Ecclesiastes 12:1 (KJV) “Remember now thy creator in the days of thy youth, while the evil days come not, nor the years draw nigh, when thou shalt say, I have no pleasure in them.” Young people of this generation The preacher speaks with conviction Remember your creator while...

Barua Kwa Raila Odinga

MKENYA MZALENDO KIJANA MPENDA AMANI Kwa, RAILA AMOLLO ODINGA KINARA WA CORD JAMHURI YA KENYA Bwana Odinga, MINT: UPINZANI KWENYE MIZANI Mwaka huu ni wa uchaguzi. Kongole kwa kazi ambayo wewe, pamoja na viongozi wengine mmekua mkifanya nchini; kuikosoa serikali. Nakubaliana nawe kwa hili: kwamba nchi hii yahitaji badiliko. Ila nina haya ya...

When They Visit…

Such a beautiful place to be! Far East, far from home The journey was long But the beauty here has paid it all Beautiful people, beautiful nation So green with lush bushes and Amazing wildlife to behold A hospitable and loving people Who seem to get along pretty well With their cultures so...

Kosa Letu Kosa Lipi?

Asubuhi na mapema Tuliamka kwa wema Tukamshukuru mungu mwema Kwa maisha na rehema Vitambulisho na kura mikononi Tukaelekea vituoni Siku nzima kwenye foleni Tukapiga kura kwa amani Matokeo yalitutuia mashakani Tukafurushwa toka manyumbani Nyumba zikateketea motoni Katulazimu kwenda ukimbizini Tulikosa Amani nchini Vita, mauaji nyumbani Wasiwasi kilio maishani Uganda katupa maskani Miaka nane ukimbizini Maisha magumu kambini Kisha tukapelekwa kaskazini Tukapewa mashamba yakini Watoto...

Get Social

1,659FansLike
0FollowersFollow
1,824FollowersFollow
13,844FollowersFollow
6,720SubscribersSubscribe

Recent

Other Stories

WP Twitter Auto Publish Powered By : XYZScripts.com