Saratani Sio Gonjwa Wastani

Saratani Sio Gonjwa Wastani

  Kansa au saratani Gonjwa liwatishao wengi ulimwenguni Jinamizi kuu lilozuka duniani Litoka wapi gonjwa hili?   Gonjwa la rika zote Halibagui jinsia laathiri zote Halibagui kabila latuathiri sote Litoka wapi gonjwa hili?   Mewageuza wengi mayatima Yaua watoto,wazazi,jamii nzima Mewaacha wengi…

Barua Kwa Raila Odinga

Barua Kwa Raila Odinga

MKENYA MZALENDO KIJANA MPENDA AMANI Kwa, RAILA AMOLLO ODINGA KINARA WA CORD JAMHURI YA KENYA Bwana Odinga, MINT: UPINZANI KWENYE MIZANI Mwaka huu ni wa uchaguzi. Kongole kwa kazi ambayo wewe, pamoja na viongozi wengine mmekua mkifanya nchini; kuikosoa serikali. Nakubaliana nawe…

Barua Kwa Rais Uhuru Kenyatta

Barua Kwa Rais Uhuru Kenyatta

Mkenya Mzalendo Kijana Mpenda Amani Tarehe: Kenya Hii Leo Kwa Rais Jamhuri ya Kenya Uhuru Muigai Kenyatta S.L.P  Ikulu ya Nairobi Mtukufu Rais MINT: TAIFA LAWAYAWAYA Ninasikitika sana!  Matatizo chungu nzima nchini! Rais, hapana sababu ya kutabasamu wakati wagonjwa wanakosa kuhudumiwa mahospitalini….

Tafakari

Tafakari

Ubinadamu na utu Wema mekosa kwa kila mtu Mioyo watu mejaza kutu Heri wanyama wa mwitu   Serikali mejaa wezi Mashamba kuiba kila mwezi Fedha kufuja ndio kazi Ya vijana, walemavu na wazazi   Kuishi jiji kuu Kweli utayaona makuu Utapeli wa…

I Speak For the Intersex

I Speak For the Intersex

  Now I understand very well What it means to be born different Normal yet very different Yet the difference may not be apparent When I was born a lot happened The community thought we were cursed My own father abandoned me…

Kosa Letu Kosa Lipi?

Kosa Letu Kosa Lipi?

Asubuhi na mapema Tuliamka kwa wema Tukamshukuru mungu mwema Kwa maisha na rehema Vitambulisho na kura mikononi Tukaelekea vituoni Siku nzima kwenye foleni Tukapiga kura kwa amani Matokeo yalitutuia mashakani Tukafurushwa toka manyumbani Nyumba zikateketea motoni Katulazimu kwenda ukimbizini Tulikosa Amani nchini…

Eyes in the Sky

Eyes in the Sky

Proverbs 15:3 (KJV) The eyes of the LORD are in every place, beholding the evil and the good. The world must be a nice view Watching it always like it’s new From the sky above deep blue While its inhabitants live with…