Wednesday, January 22, 2020

THE PAIN OF GIVING MY ALL

Let there be no regrets after valentines

Wazito Football Club

Get to know more about the club that once was a small team in the University of Nairobi. Here is what you need to know about the journey. http://wazito-fc.com/about-wazito-fc/ Today the club has the best managerial structures and is currently leading in the National Super League. http://wazito-fc.com/league-table/ Connect...

I am Just Human

I am Just Human You look a little shaken Disturbed and afar taken You even think I am alien I am just human On the streets when I walk With your eyes staring stalk Muffled speech whisper talk I am just human My skin color your concern Whenever I pass you must turn Your mind’s...

Ya Maisha maswali

  Asubuhi tuamkapo Mchana tuzungukapo Na usiku tulalapo Twajiuliza ni vipi?   Jana ilienda wapi? Kesho mejificha wapi? Leo tunaishi vipi? Twajiuliza ni vipi?   Kuzaliwa salmini Kuishi kwa Imani Kifo na huzuni Twajiuliza ni vipi?   Duniani mabilioni Hewa safi mapafuni Yatutosha sote aushini Twajiuliza ni vipi?   Maisha kama maua Furaha ndo kuchanua Kunyauka ndo kuua Twajiuliza ni vipi?       Wazee na wachanga Wote wenda kwa mchanga Rutuba kwa mimea...

Home!

Land of diversity A rich cultural heritage United by these diversities 43 different communities The differences make us unique The uniqueness makes us different The differences tell of the beauty That lies in our diverse cultures This way we are strong and bold Our cultures beautiful to behold The world comes here for this...

Gone too soon

You suffered the blow of a fight you didn’t start A fight you know nothing about   I remember every hustle we went through How we struggled with life in the village With the Video-show we started together Together trying to make a dollar each day I remember very well those...

Usikate Tamaa

Usikate Tamaa   Usighubikwe na akilio Bali tumaini la ufufuo Likupe Amani moyoni Kila jambo lina mwisho   Wapendwa kila kukicha Waangamia bila mpango Sife moyo ewe dada Kila jambo lina mwisho   Hamna jema duniani Ya hapa yote yapita Ila jiandae ufae mbingu Kila jambo lina mwisho   Tumaini hakika lipo Maisha mema yapo huko Akija mwokozi utakuwepo? Kila jambo lina mwisho   Tuliza moyo...

I am Just Human

I am Just Human You look a little shaken Disturbed and afar taken You even think I am alien I am just human   On the streets when I walk With your eyes staring stalk Muffled speech whisper talk I am just human   My skin color your concern Whenever I pass you must turn Your mind’s...

Saratani Sio Gonjwa Wastani

  Kansa au saratani Gonjwa liwatishao wengi ulimwenguni Jinamizi kuu lilozuka duniani Litoka wapi gonjwa hili?   Gonjwa la rika zote Halibagui jinsia laathiri zote Halibagui kabila latuathiri sote Litoka wapi gonjwa hili?   Mewageuza wengi mayatima Yaua watoto,wazazi,jamii nzima Mewaacha wengi kushika tama Litoka wapi gonjwa hili?   Ila tusikate tamaa Twaweza epuka balaa Iwapo tutafanya inavyofaa Tutaepuka gonjwa hili   Uvutaji wa sigara Unywaji...

Get Social

1,568FansLike
0FollowersFollow
1,824FollowersFollow
13,844FollowersFollow
6,520SubscribersSubscribe

Recent

Other Stories

WP Twitter Auto Publish Powered By : XYZScripts.com